Aliyekuwa rais wa kamati ya Olimpiki duniani Samaranch ameaga Dunia!!

Dunia na hasa ulimwenguwa michezo umempoteza mtu mashuhuri sana, aliyekuwa raisi wa Kamati ya Olimpiki duniani (I.O.C) bwana Juan Antonio Samaranch ( Pichani), ambaye amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 89. Soma zaidi; http://www.wavuti.com

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment