ZANTEL YAFANYA MAONYESHO YA HUDUMA ZA INTANETI!!

Meneja Maendeleo ya Biashara Zantel Bw. Michael Magambo akizingumzia bidhaa na huduma za intaneti zinazotolewa na Zantel wakati wa hafla ya maonyesho iliyofanyika jana jioni kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam.

Wageni waalikwa wakipewa maelekezo na wafanyakazi wa Zantel wakati wa hafla ya maonyesho ya bidhaa na huduma za intaneti zinazotolewa na kampuni ya Zantel.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment