WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI APOKEA MSAADA WA KILOSA!!

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo (kulia) akipokea msaada jana mjini Dar es salaam wa magodoro 2000 na blanketi 2000 kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Kilosa waliokubwa na mafuriko ambayo yaliwasababishai kupoteza mali zao zote. Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni 75 umetolewa na Mwenyekiti wa Karimjee Jivanjee Family Bw. Hatim Karimjee (kushoto) kwa niaba ya wenzake.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment