WAZIRI BERNALD MEMBE NA KONGAMANO LA DIASPORA!!

Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bernard Membe na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mwanaidi Maajar wakipata maelezo kuhusu ujenzi wa nyumba za kuuza kutoka Miranda Lutege, kutoka kwa Meneja uhusiano wa Benki ya Biahara ya Afrika( CBA)muda mfupi kabla Waziri Membe hajafungua mkutano wa pili wa Diaspora hapa London leo.
(Picha/Clarence Nanyaro ofisi ya Makamu wa Rais)


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment