SIMBA INAONGOZA KWA GOLI MBILI MPAKA SASA!!

Mpambano kati ya timu ya Simba ya Tanzania na Leigthens ya Zimbabwe unaoendelea kwenye uwanja wa Rufaro jijini Harare huko Zimbabwe ni kwamba Simba inaongoza kwa goli mbili ambazo zimepigwa nyavuni na Mshambulianji Mussa Hassan Mgosi na Kiungo Mohamed Banka kwa sasa ni mapumziko na wakati wowote kipindi cha pili kitaanza hali ya mchezo ni nzuri na wachezaji wana ari katika mchezo Mungu ibariki Simba Mungu ibariki Tanzania.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment