SEMINA YA KILIMANJARO MUSIC AWARD YAFANYIKA JIJINI LEO!!

Mtangazaji wa kipindi cha leo tena Clouds wa kwanza kulia na Sauda Mwilima wa Star Televisheni na wadau wengine katika picha wakiwa katika semina ya tuzo za Kilimanjaro Music Award inayofanyika leo kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach Resort jijini Dar es salaam, semina hii ni maalum kwa ajili ya kuelewesha namna tuzo hiyo itakavyotolewa kwa wanamuziki na taratibu zake kwa ujumla kiuendeshaji wa tuizo hizo Kilimanjaro Music Award inadhaminiwa na kuandaliwa na Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweriers Limited (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro Lager picha kwa hisani ya
www.djchoka.blogspot.com


Washiriki mbalimbali wa semina ya Kilimanjaro Music Award wakiwa katika mkutano huo leo.





You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment