MICS yapata viongozi wapya wa Mfuko wa kufarijiana!!

Mwenyekiti wa muda wa Mfuko wa Kufarijiana wa Wafanyakazi wa Wizara ya Habari , Utamaduni na Michezo (MICS) Ombeni Zavala (kulia)akikabidhi hati ya usajili ya Mfuko kwa Mwenyekiti Abraham Nyantori (kushoto) aliechaguliwa leo jijini Dra es salaam na wafanyakazi wa Wizara hiyo kuwa Mwenyekiti Mpya wa Mfuko wa kufarijiana. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Kufarijiana wa wafanyakazi wa Wizara ya Habari na Utamaduni Abraham Nyantori (kulia) akionyesha hati ya usajili leo jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa muda pichani haupo Ombeni Zavala .Wengine ni baadhi ya viongozi wapya wa Mfuko wa kufarijiana.

Mwenyekiti wa Mfuko wa kufarijiana wa wafanyakazi wa Wizara ya habari ,Utamaduni na Michezo (MICS) Abraham Nyantori (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi mpya leo jijini Dar es salaam baada ya uchaguzi ..

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment