Habari za kazi kaka.Pole na mjukumu ya kila siku ya kujenga Taifa.
Mimi ni mmoja wa wadau wa blog yako na nimeona siyo vibaya nikikutumia picha
hizi watanzania waone jinsi gani tulivyo lala usingizi wa pono
Hapa nilipata furusa ya kutembelea jumba moja la makumbusho (Museum) ya magari nchini Ujerumani.
Haya mgari ni mazima kabisa na ni matoleo ya zaidi ya miaka 40 iliyopita.
na nikajionea mambo mengi yaliyohifadhiwa humo na idara ya makumbusho nchini humo kwa faida ya wananchi wa Ujerumani na watalii mbalimbali wanaotembelea makumbusho hayo
by Mansimba
Cheki kitu kingine hiki

0 comments:
Post a Comment