Usiku Unalala ni nyimbo ya Sugu iliyomo kwenye Album mpya ya Sugu inayoenda kwa Jina la VETO ambayo ni Production ya S&S Records ya New York ambayo inamilikiwa na Stiggo Mwamba aliyekuwa katika kundi la Deplowmatz back in the 90's kwa kushirikiana na Black Curtains Ya Stockholm,Sweden inayomilikiwa na Puzo a.k.a Robert (Mtoto wa Mwanamuziki mkongwe wa Tanzania Makasi) aliyekuwa katika kundi lijulikanalo kwa jina la Watukutu la Morogoro(Forest Hill Sec School), Nyimbo hiyo Sugu amewashirikisha wakongwe wa Bongo Hip Hop nchini Tanzania ambao kwa sasa hawako tena Tanzania,wote wakiwa nje ya nchi wakiendelea na maisha ya kila siku bila kusahau fani wanapopata nafasi,Stiggo yuko New York akiendesha Studio zake za S&S Records,Balozi pia kutoka kundi la Deplowmatz yupo New York akifanya kazi baada ya kugraduate New York University,Puzo yuko Sweden anaendesha studio yake ya Black Curtains,
VETO YA SUGU YASUMBUA ANGA ZA BONGOFLEVA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
mnamdanganya!
toa takwimu ndugu yangu siyo kusema wanablogu wanadanganya tu unatakiwa kuelezea uongo wao uko wapi.
Post a Comment