TUZINDUKE WOTE KWA PAMOJA KUTOKOMEZA MARALIA!!

Jophrey Mwakibete wa Mo. blog kushoto na msanii Prof. J wao wamezinduka katika kampeni ya Maralia na wako tayari kuingia vitani, je wewe mdau unasemaje kuhusu hili hebu zinduka na wewe tutokomeze kwa pamoja ugonjwa wa Maralia.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment