TUKIO LA LEO BUNGENI DODOMA!

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo jana nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma na Waziri Mkuu Mstaafu na ambaye ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa . Wote wawili wako Dodoma kwa ajili ya kuhudhuri shughuli za Bunge zinazoendelea.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma
Mbunge wa Bariadi Magharibi(CCM) Andrew Chenge(kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mstaafu na ambaye ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa jana nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Wabunge hao wako mjini hapa kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya Bunge linaloendelea.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment