Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi(kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa kuteuliwa kutoka Baraza la Mawakilishi (B.LW) kwa tiketi ya CCM Ali Haroon Suleiman(katikati) na Mbunge wa Jimbo la Gando(CUF) Khalifa Suleiman Khalifa(kulia ) jana mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu cha kikao cha 10 cha Mkutano wa 18 unaoendelea kumalizika leo asubuhi.
DK HUSSEIN MWINYI AKIFURAHIA JAMBO NA WABUNGE WA ZANZIBAR!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment