ASIA IDAROUS AWATUNUKU VYETI KWA MCHANGO KATIKA UBUNIFU WA MAVAZI!!

Asia Idarous ambaye ni mwandaaji wa Onyesho kubwa la Lady in Red katikati akiwa na mbunifu Farha kushoto na Elizabert Gupta aliyekuwa mshiriki wa bigbrother Revolution 2009 mara baada ya kuwakabidhi vyeti katika kutambua mchango wao katika sanaa ya ubunifu wa mavazi jana jioni kwenye klabu ya usiku ya Savanah Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la Lady in Red Asia Idarous na mumewe wa Hamsini katikati pamoja na mbunifu mwingine wa mavazi Baraka wa Baraka Tailoring katika picha ya pamoja.

Kuanzia kushoto ni Elizabert Gupta aliyekuwa mshiriki wa Bigbrother mwaka jana, wabunifu Ally Remtullah, Asia Idarous na Farha

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment