WAANDISHI WA HABARI WA MATAIFA MBALIMBALI WAKISUBIRI VITAMBULISHO (IDENTITY CARD) NDANI YA UKUMBI WA BELLA CENTRE NCHINI DENMARK-COPENHAGEN KWA AJILI YA KUANDIKA HABARI ZA MKUTANO MKUBWA WA DUNIA WA TABIA NCHI (CLIMATE CHANGE)AMBAO ULIOANZA LEO TAREHE 8-12,2009,AMBAPO VIONGOZI WETU WA TANZANIA WANATEGEMEA KUHUDHURIA MKUTANO HUO.
WAANDISHI WA HABARI WA MATAIFA MBALIMBALI WAFURIKA DENMARK-COPENHAGEN!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment