MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI UMEFUNGULIWA LEO MJINI COPENHAGEN -DENMARK!

. NI MKURUGENZI WA MISITU KATIKA WIZARA YA MALI ASILI NA UTALII DR. KILAMA ANAONEKANA KWENYE MAJADILIANO YA KISAYANSI KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI YANAYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA BELLA CENTRE NCHINI DENMARK - COPENHAGEN LEO, WAKISUBIRI TAMKO RASMI LA MKUTANO HUO.
( PICHA NA ANNA ITINDA -MAELEZO)
MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI UMEFUNGULIWA LEO MJINI COPENHAGEN -DENMARK NA WAZIRI MKUU WA DENMARK MHE.LARS LOKKE RASMUSSEN AMBAE HAYUPO KWENYE PICHA .HAPA WANAONEKANA WATOTO WAKITOA UJUMBE MZITO KWA KATIBU MTENDAJI WA SEKRETARIETI YA MKATABA WA MABADILIKO YA HALI YA HEWA (UNFCCC) WA UMOJA WA MATAIFA NA ANAE ONGEA NA KUWAJIBU WATOTO NI RAIS WA MKUTANO WA 15 WA MABADILIKO YA TABIA NCHI MHE.CONNIE HEDEGAARD JIJINI COPENHAGEN LEO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment