TSHALLA MUANA ALIPOWASILI NCHINI JANA!!

Mwanamuziki kutoka Demokrasia ya Kongo Tshalla Muana akiwapungia mkono wenyeji wake waliokuja kumpokea mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar jana jioni Tshalla Muana amekuja nchini kwa ajili ya onyesho la Embassy Club E litakalofanyika ndani ya Ubungo Plaza ijumaa jijini Dar es Salaam.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment