Meneja wa bia ya Kilimanjaro inayotengenezwa Kampuni ya bia ya Tanzania Breweriers Ltd George Kavishe akizungumza wakati wa kuzijipya la bia hiyo lililotengenezwa na kampuni hiyo wakati mbio za kupandisha Bendera ya Taifa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro George amesema kampuni hiyo imewtumia zaidi ya shiulingi milioni 400 kutengeneza tangazo hilo ambalo uzinduzi wake ulifanyika kwenye klabu ya TRINITI ya jijini Dar es salaam juzi usiku.
TBL YAZINDUA TANGAZO JIPYA LA KILIMANJARO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment