Jambo Leo, akiwa na furaha baada ya kutangazwa mshindi na
kuzawadiwa tuzo na kamera wakati wa hafla ya kuwazawadia
waandishi bora 2009, Dar es Salaam jana jioni kwenye ukukbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Hafla hiyo
iliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).
Leo, akipongezwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wapiga Picha za
Habari Tanzania (PPAT), Juma Dihule, wakati wa hafla ya
kuwazawadia waandishi bora 2009, Dar es Salaam juzi. Hafla
hiyo iliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).
0 comments:
Post a Comment