Deogratius Kakoko Balozi wa NMB katika chuo cha usimamizi wa Fedha IFM akibonyeza kompyuta ili kumpata mshindi wa bahati nasibu kwa wateja iliyochezeshwa leo kwenye makao makuu ya benki hiyo jengo la Bank House kushoto ni Meneja huduma za wateja binafsi wa benki hiyo Abdulmagid Nsekela (Kulia) Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha Bakar Maggid Kati ni Afisa wa Selcom Gaming.
NMB NA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment