MWANABLOG KIGKIF NA ULIMWENGU WA BLOG!!


Kaka John Bukuku.Pole sana na kazi yako nzito ya kutupa taarifa mbalimbali kwa kupitia blogu yako bab’ kubwa .Kwa niaba ya kampuni ya King Kipf Productions ya jijini Dar es Salaam, na Blogu ya http://www.kingkif.blogspot.com/ ninakuomba ututangazie blog yetu hii ya:kingkif.blogspot.com.Kwenye blog yako ili tuweze kuwafikia wanaulimwengu wenzetu mbalimbali ili waweze kupata taarifa ya mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye sayari hii.Kufanikiwa kwa jambo hili itasaidia kwa namna moja ama nyingine watu kupiga hatua kubwa. wako Mkurugenzi King Kif ProductionsSigfred Peter.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

3 comments:

  1. Duu!!Baada ya kusoma tangazo la Blogu hii nimezama ndani nimekuta taarifa kibao hasa za wasanii wa muziki wa Bongo Flava na wacheza sinema wa Tanzania.Blogu imetulia sana na hongera King Kif.David Mwaseba , New York, Marekani.

  2. Blogu ipo mzuka sana.Mimi ni mfuatiliaji sana wa mablogu hivyo , hii inakuwa blogu yangu mpya katika nyingine nyingi nilizonazo.Hongera King Kif.Big Small-Sinza.

  3. Kwenye blogu hii kuna mambo mengi ambayo huwa nayahitaji.

Post a Comment