Mwadaaji wa Swahili Fashion Week Mustafa Hassanali akiwa katika picha ya pamoja na mwandaaji wa Lady in Red. Asia Idarous wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya Swahili Fashion Week yaliyoanza jana na yanatarajiwa kuendelea mpaka Novemba 6 Jumamosi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam ambapo wabunifu wa mitindo mbalimbali kutoka Afrika Mashariki wanaonyesha ubunifu wa nguo zao.
Onyesho hilo la jana lilionyesha ukomavu wa wabunifu wetu kutokana na ubora wa mavazi waliyoonyesha na viwango vya ubora wa onyesho lenyewe, ambapo wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali walihudhuria na kuonyesha kufurahishwa na maandalizi ya kazi za wabunifu walioonyesha mavazi yao na jinsi onyesho lilivyoendesha kwa ujumla.
Hapa wanamitindo wakaanza.
Wadau mbalimbali wakifuatilia Uzinduzi wa Maonyesho hayo ya Swahili Fashion Week Kutoka kushoto ni Kevin Twisa Mkurugenzi wa Masoko Zain Teweli Teweli Meneja Uhusiano wa Barrick na Mwanahabari Siddy Mgumia kutoka New Habari 2006.
1 comments:
heheaaaa mdau Anita kutoka Canada....kumbe Canada imekuwa Kizota Dodoma? Watu kwa kujichua jamani...anyway tujenge taifa letu.
Monica
Post a Comment