Mwanamuziki wa bendi ya FM Academia Jose Mara na mkewe Monica a.k.a Mama Junior wakiwa wakitafakari namna ya kukata keki katika kuadhimisha tarehe ya kuzaliwa
wanamuziki Josse Mara iliyofanyika kwenye Hoteli ya New Africa hivi karibuni Josse Mara ni mwanamuziki mtanzania ambaye amefanikiwa sana katika shughuli zake za muziki katika bendi hiyo ikiwa ni pamoja na kujikusanyika mashabiki lukuki hapa nchini.
Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu ya waalikwa wote nayo ikapigwa, Josse na familia yake aliadhimisha siku ya kuzaliwa kwake ambayo hufanyika kila mwaka Novemba 2
Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu ya waalikwa wote nayo ikapigwa, Josse na familia yake aliadhimisha siku ya kuzaliwa kwake ambayo hufanyika kila mwaka Novemba 2
0 comments:
Post a Comment