WANAFUNZI WA SEKONDARI WAKIFANYA MAJARIBIO YA SAYANSI!!

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kipera iliyoko katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wakifanya moja ya majaribio ya masomo ya sayansi wakati wa tamasha la shule za sekondari lilizofanyika Chuo Kikuu cha Mzumbe.Kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment