MWILI WA MAREHEMU CHARLES SELESTIN MASANJA WAAGWA LEO!!

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mh. Joel Bendera akiweka shada la maua kwenye jeneza lenye mwili wa Marehemu Charles Selestin Masanja aliyekuwa meneja wa uwanja wa uhuru, aliyefariki usiku wa kuamkia jana wakati wa shughuli za kutoa heshima za mwisho kwa marehemu zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru leo kuanzia saa nane mchana, mwili wa marehemu utasafirishwa kesho kuelekea Urambo Mkoani Tabora kwa mazishi Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Merehemu AMIN.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment