Kulia ni mkurugenzi wa Clouds Media Group/prime time promotions Bw.Joseph Kusaga akipeana mkono na mgeni rasmi,Katibu tawala wa Mkoa wa Shinyanga Mh. William Nsanzugwanko mara baada ya uzinduzi wa masafa mapya ya Clouds 92.3 FM Shinyanga,uzinduzi huo umefanyika jana jioni wakati wa tamasha la fiesta one love 2009 likifanyika katika uwanja wa Kambarage .
clouds yazindua frikwensi mpya shinyanga!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment