VISURA HAWA NDIYO WALIOPENYA KATIKA MCHUJO KUTAFUTA MWAKILISHI WA TANZANIA FOA!!

Visura hawa ni miongoni mwa waliofikia hatua ya juu ambapo majina yao na picha vitatumwa afrika kusini kwa hatua ya mwisho ambayo hatimaye Tanzania itajipatia mwakilishi katika shindano hilo la Face of Africa linalotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.
Meneja Masoko wa Multchoice Furaha Samalu wapili kutoka kulia Grace kutoka Multchoice wakiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Face of Africa Juanri kushoto na Gavin kutoka Afrika Kusini mara baada ya kumaliza kazi ya kuwachuja visura hao.

Visura mbalimbali wakiwa wamejitokeza katika mchujo wa kutafuta mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Face of Africa katika makao makuu ya ofisi za Multchoice jijini Dar es salaam jana.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

3 comments:

  1. duhu swaumu sasa jamano mtume nakufaa

  2. dah kaka unachapia sana sio LEVOLUTION ni REVOLUTION halafu nimegundua wwe unachapia sana hata kiswahili naamini sio mbwembwe

  3. Mbona sioni model wa maana hapo? tuache kuwa wasindikizaji jamani!

Post a Comment