Mc Angela Bondo akipozi na katika picha na bwana harusi Enock Bwigane kulia na bestman wake Joe Kihampa wote ni watangazaji wa TBC1 Mc Angela aliyekuwa akiendesha shughuli hiyo alidatishwa na maharusi hao kutokana na walivyokuwa wamechangamka katika sherehe yao hiyo ya kuanza maisha ya ndoa ambapo Enock alifunga ndoa na Miriam Lumelezi katika kaninsa la KKKT Azania Front jijini mwishoni mwa wiki, Angela anasema kuchangamka huko kwa maharusi hao kulichomfanya aendeshe hafla hiyo akiwa na furaha sana, akielezea zaidi Angela ambaye ni miongoni mwa ma Mc wakali wanawake nchini alisema "Duh nimefurahishwa sana na maharusi wa leo manake wako (live) kiasi kwamba wamenifanya hata mimi kuwa (live) ile mbaya sijui kwakuwa ni watangazaji ah wamenifurahisha sana" aliiambia tovuti ya FULLSHANGWE mwanamama huyo.
MAHARUSI WAMDATISHA MC ANGELA BONDO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment