Mkurugenzi wa Tanzania Mitindo House TMH Khadija Mwanamboka akionyesha Mchoro wa ramani ya Kituo cha michezo cha kucezea watoto ambacho kitakuwa na librarytoys roomukumbi wa kuangalia sinema na kufanyia maigizo na kuonysha mavazi ya watoto, wakati alipoongea na wanahabari katika ukumbi wa idara ya habari maelezo, kuhusu hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa kituo hicho itakayofanyika jumamosi Agosti 22 mwaka huu kwenye ukumbi wa Greek Club jijini Dar es salaam na kujumuisha makampuni mablimbali makazi ya kituo hicho kwa sasa yako Magomeni mapipa jijini Dar na kituo hicho kinatarajiwa kujengwa Kigamboni.
TMH KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Hakika moja ya mambo ambayo wanablog nchini tunatakiwa kusaidia kuelimisha jamii ni pamoja na kuchangia huduma kama hizi
Nakutakia kazi njema huduma nzuri
Hakika moja ya mambo ambayo wanablog nchini tunatakiwa kusaidia kuelimisha jamii ni pamoja na kuchangia huduma kama hizi
Nakutakia kazi njema huduma nzuri
Post a Comment