TAIFA STARS YAKABIDHIWA BENDERA TAYARI KWA MPAMBANO HUKO RWANDA!!

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Marcio Maximo katikati akiongea na wanahabari jijini Dar leo, wakati timu ya taifa Taifa Stars ilipokabidhiwa Bendera ya Taifa tayari kwa safari ya kuelekea Kigali Rwanda kwa mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda itakayochezwa katikati ya wiki hii nchini humo kushoto ni Naibu mkurugenzi wa Michzo kutoka wizara ya habari, utamaduni na michezo Bwana Charles Matoke na Meneja huhusiano wa Serengeti Breweries Teddy Mapunda kulia

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment