JISHINDIE MAFUTA FULL TANK NA NEW HABARI 2006 LTD!!

Peter Mwendapole mkuu wa kitengo cha uhusiano.

Kampuni ya New Habari (2006) ikishirikiana na Selcom Gaming imeanzishapromosheni ya ‘Jishindei Tanki la mafuta’ kwa wateja wa magazeti yake yaMtanzania, Bingwa,Dimba, Rai, The African, Mtanzania Jumapili, WeekendAfrican na Dimba jumapili.Promosheni hii ambayo inazinduliwa rasmi leo itawawezesha wateja wamagazeti ya New Habari kushinda tanki la mafuta ya gari kila wiki.Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Udhamini na Matukio wa New Habari, PetterMwendapole amesema Promosheni hii itamwezesha mteja kuingia katika nafasiya kushinda tanki la mafuta kwa kutuma sms yenye neno Mafuta kwenda namba15331ambapo mtumaji wa sms nyingi zaidi ndiye anakuwa katika nafasi kubwazaidi ya kushinda, sms hizo zitatozwa shilingi za kitanzania 600 tu ikiwani pamoja na VAT.Droo ya kumpata mshindi itafanyika kila ijumaa ambapo washindiwatatangazwa katika magazeti ya New Habari Jumamasi ambayo ni Mtanzania,Bingwa na The African, hata hivyo shindano hili halitahusisha wafanyakaziwa New Habari wala wale wa Selcom Gaming. Pia tanki ni kwa magari madogosiyo Trela au malori.Mwendapole amesema promosheni hii katika kuwashukuru wasomaji wa magazetiya kuwapa sababu nyingi zaidi za kuendelea kuwa wasomaji wa magazeti hayambali ya kuwa wanapata Habari zilizo bora kisiasa, uchumi, michezo naburudani.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment