ACP Abdallah Msika amezungumza hayo wakati alipoongea na wanahabari leo kwenye makao makuu ya jeshi la polisi yaliyopo katika Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi wakati akizungumzia mkakati wa jeshi hilo katika kupambana na uhalifu nchini.
JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 5 KWA ATAKAYEFANIKISHA KUKAMATWA KWA MAJAMBAZI UPORAJI WA NMB TEMEKE!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment