Waziri Ngeleja azindua mtambo wa kusindika gesi asilia uliopo Ubungo jijini Dar es Salaam!!

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (wa pili kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mtambo wa kushindilia gesi asili uliofanyika leo huko Ubungo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Ethur Mwakapugi na kushoto kwa waziri ni Meneja Mkuu wa PanAfrican Energy (T) Ltd Pierre Raillard.

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akiweka gesi katika gari wakati wa uzinduzi wa mtambo wa kushindilia gesi asili uliofanyika leo huko Ubungo jijini Dar es Salaam. Aliyesimama nyuma ya waziri ni Meneja Mkuu wa PanAfrican Energy (T) Ltd Pierre Raillard.

Picha na Anna Nkinda - Maelezo


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment