Vijana wa Tanzania (hawapo pichani) wakiwa na raia wenyeji wakiangalia Burudani zinazopendwa na kuwavutia watu wengi nchini China ikiwa ni sehemu ya makaribisho.Hapa ni Acrobatic show ikiendelea katika eneo la Hujialou, Beijing .
Vijana kutoka Tanzania wakifurahi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing, China wakitokea Dar es salaam .Vijana hao wako katika ziara maalum nchini China kufuatia mwaliko alioutoa rais Hu Ji ntao wa China katika ziara yake aliyoifana mwanzoni mwa mwaka huu kwa kutaka vijana kutembelea nchi hiyo.
Hii ni picha kutoka angani ikionyesha sehemu na mandhari safi ya mji wa Beijing na jinsi ujenzi wa nyumba, ofisi,viwanda ,sehemu za huduma za jamii na mashamba ulivyokaa katika mpangilio na kulifanya jiji hilo kuvutia zaidi.
Picha na Aron Msigwa- MAELEZO.

0 comments:
Post a Comment