RENARTUS MKINGA MSHINDI WA TUZO MILIONEA APOPKEA MAMILIONI YAKE KUTOKA VODACOM!!

Mshindi wa Tuzo Milionea ya Vodacom bw, Renatus Mkinga wa pili kutoka kulia amekabidhiwa rasmi kitita chake cha shilingi milioni 100 alizojishindia na mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Ephraim Mafuru kwenye hafla iliyofanyika Kilimanjaro Kempinski Hotel leo,baada ya kukamilika kwa droo hiyo ambayo iliendeshwa kwa mwaka mzima huku zawadi ndogondogo zikitolewa kwa washindi wengine lukuki na kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania, benki ya Kenya Comacial Bank ndiyo itakayohifadhi fedha za Renatus na kutoa mafunzo mbalimbali ya kibiashara kwa mshindi huyo huku ikimshauri jinsi ya kuandika michanganuo ya kibiashara katika picha wengine ni Felix MlakiHead of Retal Banking wa KCB George Rwehumbiza Meneja Udhamini na Mawasiliano Vodacom na Anga Mkinga Mke wa Bw. Renatus Mkinga aliyeongozana na mumewe kwa ajili ya kupokea mamilioni hayo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment