Mzee Mponda aka "Dady Mponda" au tumwite "Bwana Mkubwa" aliweza kupanda jukwaani na kulisakata dansi la Ngoma Africa na kuwavuta washabiki! Mzee Mponda ni baba mzazi wa familia ya wasanii akina Menard Mponda ambaye yupo pembeni yake pichani,
Baba Mponda aliwahakikishia washabiki kuwa ZAMANI NI ZAHABU kwani washabiki walikubali kuwa "Mzee wa Kiafrika" anawashinda vijana kwa kuyasakata magoma! inasemekana Baba Mponda aka Dady Mponda ni mwanamuziki pia?!

0 comments:
Post a Comment