MISS KINONDONI WAENDESHA SEMINA YA, JE NGUO FUPI ZINACHANGIA NGONO ZEMBE?

Miss Tanzania 2007 Richa Adhia kati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa shindano la Miss Kinondoni 2009 mara baada ya semina iliyojadili kuwa je nguo fupi zinachangia ngono zembe? iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Girrafe Ocean View iliyoko mbezi Beach.
Miss Tanzania 2007 Richa Adhia akizungumza katika semina ya washiriki wa Miss Kinondoni juu ya uvaaji wa nguo fupi iwapo zinachangia ngono zembe ama hazichangii, semina hiyo emefanyika leo kwenye hoteli ya Girrafe Ocean View Hoteli kandokando ya bahari ya hindi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment