DUH! HUYU JAMAA NI JASIRI KWELIKWELI JAMANI, HEBU ICHEKI HII!!

"Wanangu msijali tutafika tu manake mungu ni mkubwa" ni kama ndivyo anavyofikiria mawazoni mwake jamaa huyu ambaye amewapakia watoto saba katika pikipiki yake yeye akiwa mtu wa nane, bila hata kujali kwamba anahatarisha maisha yao na yeye mwenyewe kwakweli hii ni kali wadau hebu iangalieni na kuchangia maoni yenu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

3 comments:

  1. Hapo ipo kazi wakiangua basi itakuwa basi. Kweli usafiri ni kazi kwelikweli.

  2. UJASIRI UPO WAPI HAPO...ANAHATARISHA MAISHA YA WATOTO...BORA YE ATAWEZA JIOKOA IKITOKEA AJALI AU KUYUMBA KWA PIKIPIKI....HAO WATOTO WATAUMIA TU MADEREVA WENYEWE HAWA WABONGO KUCHOMEKEA KILA SEHEMU....TRAFIK INABIDI WAMSAKE HUYU....

  3. jamani hii kali polisi wetu wanafanya nini?

Post a Comment