WAREMBO MISS IFM WAJIFUA VIKALI, KUCHUANA KESHO MSASANI CLUB!!

Warembo wanaotarajia kushiriki katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss IFM wakijifua vikali jioni hii katika ukumbi wa Break Point Outdoor Posta jijini Dar shindano hilo linafanyika kesho ijumaa Mei 15 kwenye ukumbi wa Msasani Club.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment