Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. William Lukuvi (kushoto) akipokea Msaada wa chakula kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dorris Malulu, msaada wa vyakula na mablanketi vyote vikiwa na thamani ya sh. milioni 10 kwa ajili ya kusaidia walioathirika na milipuko ya mabamu Mbagala, Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika eneo la Mbagala Kuu, jijini.
TBL yatoa msaada kwa wahanga wa mabomu Mbagala!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment