Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watanzania wanaoishi jijini Los angeles nchini Marekani mara baada ya kuzungumza nao mambo mbalimbali yakiwepo mazingira bora ya uwekezaji yaliyopo kwa sasa, ambapo amewataka kuwekeza nyumbani ili kujenga uchumi wa nchi yao, Rais yuko nchini Marekani kwa ziara ya kikazi itakayomchukua wiki moja.
RAIS JAKAYA AWATAKA WATANZANIA KUWEKEZA NYUMBANI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment