Amesema katika shindano hilo burudani zitaletwa na wasanii wakali kama Chid Benz, Matonya, Wakali Kwanza na wengine wengi, wakati huohuo ameongeza kuwa shindano hilo pia litasindikizwa na wasanii wakubwa afrika Mashariki kwani kwa hivi sasa kampuni yao iko kwenye mazungumzo na baadhi ya wasanii wa nchi za kenya na uganda, na mara mambo yatakapokuwa yamekaa sawa watakuwa tayari kutangazia umma.
MISS TANGA KUCHUANA JUNI 6 UWANJA WA MKWAKWANI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment