Tukumbuke kuwa hii ni mara ya kwanza nchini Tanzania, Vodacom Tanzania inaamua kuwekeza kwenye kinyang’anyiro cha kuibua na kuendeleza vipaji vya muziki ijulikanayo kama Bongo Star Search 2009. Uwekezaji huo wa Vodacom umelenga katika kuongeza mikoa ambayo kuna vipaji vingi vya kuimba ambavyo vinahitaji kuibuliwa na kuendelezwa tofauti na miaka ya nyuma. Mikoa iliyoongezwa ni pamoja na Tanga, Kigoma, Tabora na Kigoma.
USAILI WA BONGO STAR SEARCH WAFUNIKA MTWARA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment