mwanamuziki wa Asili Coster Siboka mfalme akionyesha albam yake anayoizindua kuanzia kesho mkoani kigoma akiionyesha rasmi kwa wadau wa muziki albam hiyo ina nyimbo 1o na inaitwa (Niwe Wange)
Coster Siboka akiwa apepozi na wanenguaji wake atakaoambatana nao katika ziara yake ya uzinduzi huo kanda ya ziwa ambapo ataanzia mkoa wa kigoma, mwanza, kagera na shinyanga uzinduzi huo unadhaminiwa na kinywaji maaufu cha Balimi.

0 comments:
Post a Comment