UPENDO NA FATUMA KUPAMBANA KATIKA MCHEZO WA KICKBOXING APRILI 26 2009!!

Bondia mwanamke wa mchezo wa KICK BOXING Upendo Njau wa Moshi Kirimanjaro akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo juu ya mpambano wo wa Round 5 kg60 na mwanamama mwenzake Fatma Chande wa Morogoro mpambano huo utakuwa ni wa kugombea mkanda wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika 26/4/2009 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee pia kutakuwa na mapambano mengine ya kugombea mkanda wa ubingwa wa Afrika mashariki na kati ambapo bondia kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Kanda Kabongo atapambana na bondia wa Tanzania Ally Vandame katika uzito wa kg70 mapambano hayo yameandaliwa na kampuni ya Jaw Company Limited na kiingilio kitakuwa 10.000, 5,000 na 2,500 kwa watoto kushoto ni Match maker bondia wa siku nyingi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment