TBL KUENDESHA HARAMBEE YA KUCHANGIA UNUNUZI WA VYOMBO VYA BENDI YA MSONDO!!

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Fimbo Butallah (kulia akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu kuanzishwa kwa promosheni ya kuhamasisha wanywaji wa kinywaji hicho kuchangia fedha za kusaidia ununuzi wa vyombo vipya vya muziki vya kisasa vya bendi ya Msondo Ngoma.Kushoto ni Kiongozi wa bendi hiyo,Muhidini Gurumo.
Kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidini Gurumo kushoto) akishukuru katika mkutanona waandishi wa habari, Dar es SAalaam jana, promosheni iliyoanzishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)kupitia bia ya Safari Lager ya kuwahamasisha wateja wa kinywaji hicho kuchangia fedha za kusaidia kununua vyombo vipya vya muziki vya kisasa vya bendi hiyo. Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Fimbo Butallah.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment