NI KAMA WANASEMA "YAKHE KARIBU TUPATE GAHAWA"

Wakazi wa jiji wakijipatia kikombe cha kahawa katika mtaa wa Samora kutokana na mvua ambayo inaendelea kunyesha hivi sasa jijini , kahawa inachangamsha na kuleta joto mwilini hasa kipindi cha baridi hivyo wakazi wa jiji wanapendelea kunywa kahawa wakati wa mvua na mawingu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment