SHEIKH YAHYA HUSSEIN ALONGA NA WANAHABARI BAADA YA KUREJEA KUTOKA INDIA!!

Mnajimu maarufu afrika Mashariki na mtabiri Sheikh Yahya Hussein akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake jana mara baada ya kuwasili akitokea India alikoenda kwa matibabu kutokana na matatizo ya moyo pichani kulia ni mkewe Ketty mama Mufti Junior picha kwa hisani ya Mzee wa Sumo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. please naomba unisaidie natafuta contacts za huyu baba nina shida nae..
    sipati website yake kama unaweza kuweka contacts zake hapa..tafadhali naomba ufanye hivyo nina shida nae sana...

Post a Comment