.Wananchi wakiwa wameizingira gari aina ya Pajero, iliyokuwa ikishindaniwawakati Droo hiyo ilipokuwa ikifanyika jana.
Kutoka kushoto ni kiongozi wa bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma” NyoshiEl Saadat, Meneja wa Global Publishers, Abdalah Mrisho, Mwenyekiti Mipango mijiOfisi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Wilfred Kimati, Afisa kutoka Bodi yamichezo ya kubahatisha Tanzania (TGB), Mrisho Milao na Mhariri wa magazeti yaIjumaa Oscar Ndauka, wakiwa katika viwanja vya Bakhressa Manzese Jijini Darwakati wa Droo hiyo.
0 comments:
Post a Comment