Meneja Uhusiano na Matukio wa Zain Tanzania, Beatrice
Mallya (kulia) akitoa maelekezo kwa wateja wa Zain, Faraja Nzusu
(kushoto) na Grace Amani kuhusu jinsi ya kujiunga na huduma za Pamoja
10 na Rewardz mjini Morogoro jana, ikiwa ni sehemu sehemu ya matukio ya
wiki ya 'Shangwe na Zain' ya kupeleka chapa ya Zain kwa wananchi katika
mikoa mbalimbali nchini.

0 comments:
Post a Comment