WENZETU WANASAJIRI NAMBA ZA MAGARI YAO KWA UTARTIBU WA MAJIMBO!!

Huu ndiyo mfumo unaotumika kusajiri magari nchini Nigeria ambapo kila jimbo linasajiri kwa namba zake kama unavyoona namba za gari hili ambalo limesajiriwa katika jimbo la Abuja nchini humo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

3 comments:

  1. nukumbuka nasisi zamani tulikuwa na namba za mikoa kwa mfano Mbeya tulikuwa na MB,kwa mji wa Sumbawanga ilikuwa SBA,Tabora TBR nk.sijui mfumo huo uliishia wapi....!

  2. pale ambapo watu waliona hapati 10% wakafuta mapngo huu. sio hivyo tu angalia na mistari inyo tumiwa ..Center of Unity- Abuja, sijiu Lagos na state zingine watakuwa wanatumia maneno gani?

  3. Hizo namba/tag za magari ni kwenye nchi zinoitwa federal/shirikisho ambazo majimbo yake yamejitawala na kila mojawapo lina gavana wake is pretty much similar to usa kwa bongo ni ngumu maana tuko kwenye jamhuri ya muungano..hope everybody get it now
    i'm out and about

Post a Comment